â Tumia picha yako halisi na jina lako la kweli.
â Kuwa mkweli kuhusu hali yako ya familia na malengo yako.
â Zungumza kwa heshima, hata kama hujavutiwa na mtu.
â Hairuhusiwi kuomba pesa, zawadi, vocha au msaada wa kifedha.
â Hairuhusiwi matusi, ubaguzi, vitisho au maudhui ya ngono.
â Hairuhusiwi kutangaza biashara, mikopo au kazi.
â Hairuhusiwi akaunti zaidi ya moja kwa mtu mmoja.
Anayevunja miongozo hii atasimamishwa au kufutwa bila taarifa.