đĢ Usitume pesa kwa mtu uliyemjua mtandaoni â hata akikueleza shida ya dharura, ugonjwa, nauli au visa. Huo ni mtego wa kawaida wa matapeli.
đ Usitoe namba za siri, PIN za mobile money, nywila, wala picha za kadi za benki.
đš Piga video call kwanza kabla ya kukutana, uhakikishe mtu ni yule yule wa picha.
â Kutana mahali pa wazi kwa mara ya kwanza (mgahawa, hoteli, sehemu yenye watu) na ujipeleke mwenyewe.
đ¨âđŠâđ§ Mwambie rafiki au ndugu unakoenda, na unarudi saa ngapi.
đŠ Ripoti au zuia mtu yeyote anayekuomba pesa, anakutukana au anakusumbua â bonyeza "Ripoti" kwenye wasifu au mazungumzo yake.