Premium ni huduma ya hiari ya siku 30. Bei inaonyeshwa kwa sarafu ya nchi yako kwenye ukurasa wa Premium.
Njia ya kulipa: mobile money pekee kupitia namba rasmi zilizoonyeshwa kwenye ukurasa wa Premium. Usimlipe mtu yeyote binafsi anayedai kuwa wakala wetu.
Kuwashwa: Premium inawashwa baada ya msimamizi kuthibitisha muamala wako, kwa kawaida ndani ya saa 24.
Kurejeshewa pesa: malipo hayarudishwi baada ya Premium kuwashwa. Kama ulilipa lakini Premium haikuwashwa, wasiliana nasi ndani ya siku 7 ukiwa na namba ya muamala.
Akaunti iliyosimamishwa kwa kuvunja masharti haipati marejesho.