Mahusiano na Upendo ni jukwaa la watu wanaotafuta mahusiano ya kweli na ya kudumu â kwa Warundi, Afrika Mashariki na diaspora duniani kote.
Tunaamini upendo unastahili heshima, ukweli na usalama. Ndiyo maana:
đĒĒ Kila mtu anathibitishwa kwa kitambulisho kabla ya kuanza, na kitambulisho kinafutwa baada ya ukaguzi.
đ Ujumbe unaruhusiwa tu pale wote wawili mmependana.
đĄī¸ Tunachukua hatua haraka dhidi ya matapeli na wanaoomba pesa.
đ Kila mtu anakaribishwa â single, single mother, single father, waliowahi kuoa au kuolewa.